Download Wewe Ni Mungu Huchunguziki Mp3 by Christopher Mwahangila
The passionate gospel worshipper and worship leader Christopher Mwahangila, comes through with a song called “Wewe Ni Mungu Huchunguziki“, and was released in 2025. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Wewe Ni Mungu Huchunguziki” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Wewe Ni Mungu Huchunguziki” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More CHRISTOPHER MWAHANGILA Songs Here
You May Like These Too 🔥
Lyrics: Wewe Ni Mungu Huchunguziki by Christopher Mwahangila
Wewe ni Mungu haufanani na kitu chochote
Ufahamu wako ni waajabu jnanishnda mimi.×2
“………………….”maarifa yako ni yaajabu yananishnda mimi
Niende wapi ambako wewe haupo
nikimbilie wapi nijifiche na uso wako… ?
Niende wapi ambako Mu gu haupo?
nikimbilie wapi nijifiche na uso wako.?
Ee Bwana Umenichunguza na kunijua
Wew wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu
×2
Umelifahamu wazo langu
Umezijua njia zangu
Umenijua tokea mbali Bwana Bwana..
Umelifahamu Wazo langu …
Umezijua njia zangu
Umenifahamu tokea mbali Bwana Bwana.
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu
Maana hakuna neno la ulimi wangu usilolijua
Maana hakuna neno la ulimi wangu usilolijua
(Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana …
Rpt Chorus
Wewe Ni Mungu hauchunguziki ..
hata gizani haufichwi kitu…
Wew ni Mungu hauchunguziki ..
Mchana na usiku kwako ni sawa..
haufananiii…
wewe ni Mungu ..hauchunguziki…
hata gizani haufichwi kitu





