Universal Gospel Bony Mwaitege – Neema Imenibeba

Bony Mwaitege – Neema Imenibeba

Download Neema Imenibeba Mp3 Audio by

The widely recognized gospel artist presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “‘Neema Imenibeba'“. This track, released in 2024 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast's collection. The tune “‘Neema Imenibeba'” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.

Artist Name:
Mp3 Song Title:‘Neema Imenibeba'
Year of release:2024

Get the MP3 audio for free, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you're spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More Bony Mwaitege Songs Here

Song Lyrics: ‘Neema Imenibeba' by Bony Mwaitege

Ooh
Nimebebwa
Nimebebwa
Nimebebwa Tu
Ooh
Nimebebwa Na Mungu
Aah
Nimebebwa
Nimebebwa
Nimebebwa
Neema ya Mungu ninanisaidia
Neema ya bwana Imenibeba
Ooh
Wema Wa Mungu Imenibeba
Wema Wa Mungu
Ooh
Mimi Sio tofauti na watu wengine
Sio tofauti kabisa
Hata Mimi ni dhaifu Kama Watu wengine
Sema neema ya mungu tu inanibeba
Ninayo mapungufu Kama Watu wengine
Neema ya mungu tu inanisaidia
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema
Sio kwa ujanja wangu ni kwa neema
Hivi nilivyo mimi ni Neema ya Mungu
Sio kwa ujanja wangu ni neema
Eeeh
Kwa neema ya Mungu kwa neeema (Neema ya Mungu)
Kwa neema ya Yesu kwa neeema (Neema ya Yesu)
Hivi nilivyo mimi kwa neema (Neema ya Mungu)
Wala sio kwa ujanja wangu kwa neema (Neema ya Msalaba)
Oooooh

Nisingesikirizwa kama si neema
Naomba nasikilizwa kwa neema ya mungu
Nimeomba mke mungu amenipa
Sio kwa ujanja wangu ni neema tu
Umeomba mume mungu amekupa
Sio kwa ujanja Wako ni neema
Eeeh!
Kwa neema ya Mungu kwa neeema (Neema ya Mungu)
Kwa neema ya Yesu kwa neeema (Neema ya Yesu)
Hivi nilivyo mimi kwa neema (Neema ya Mungu)
Wala sio kwa ujanja wangu kwa neema (Neema ya Msalaba)
Oooooh
Kwa neema ya Mungu kwa neeema (Neema ya Mungu)
Kwa neema ya Yesu kwa neeema (Neema ya Yesu)
Hivi nilivyo mimi kwa neema (Neema ya Mungu)
Wala sio kwa ujanja wangu kwa neema (Neema ya Msalaba)
Oooooh
Oooh
Sioni kwa nini nijivune
Sioni kwa nini niwe na kibuli
Sioni kwa nini nipite bila kusalimu watu
Wakati nilivyo Mimi ni neema tu
Sio kwa ujanja wangu ni neema
Hivi nilivyo Mimi ni kwa neema
Sio kwa ujanja wangu ni neema
Aaah
Kwa neema ya Mungu kwa neeema (Neema ya Mungu)
Kwa neema ya Yesu kwa neeema (Neema ya Yesu)
Hivi nilivyo mimi kwa neema (Neema ya Mungu)
Wala sio kwa ujanja wangu kwa neema (Neema ya Msalaba)
Oooooh
Nakushukuru Mungu
Kwa neema inayofanya niishi
Nakushukuru mungu
Kwa ajili ya Yesu mwanao Nimepata Neema
Nakushukuru mungu wa mbinguni
Ni kwa neema yako ninakula ninakunyua
Hivi nilivyo mimi ni kwa neema yako
Wala si ujanja wangu ni neema
Hivi nilivyo mimi ni neema
Wala si ujanja wangu ni neema Bwana
Kwa neema ya Mungu kwa neeema (Neema ya Mungu)
Kwa neema ya Yesu kwa neeema (Neema ya Yesu)
Hivi nilivyo mimi kwa neema (Neema ya Mungu)
Wala sio kwa ujanja wangu kwa neema (Neema ya Msalaba)
Oooooh
Kwa neema ya Mungu kwa neeema (Neema ya Mungu)
Kwa neema ya Yesu kwa neeema (Neema ya Yesu)
Hivi nilivyo mimi kwa neema (Neema ya Mungu)
Wala sio kwa ujanja wangu kwa neema (Neema ya Msalaba)
Oooooh

Comment below with your feedback and thoughts on this post.