Download Puuh Mp3 by Billnass Ft. Jay Melody
Here’s a song by the African prolificย music artisteย and talented singer โBillnassโ. Thisย songย is titled โPuuhโ featuring Jay Melody, as it was released alongside its video. You’ll surely enjoy this one.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced
Lyrics: Puuh by Billnass
Jay once again (S2kizzy baby)
Mm-hmm (Nenga)
Ah, hili penzi la ukweli, baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka, wuuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Moyo unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, la-la
Hi! Wacha niseme kitu boo
Siwezi kukutoa machozi maana mi’ sio kitunguu
Kila siku kwetu sikukuu
Valentine sio issue kwetu si’ ni siku tu!?
Najua unapenda zawadi ma-gift
Na ndo’ maana work hard niku-fix
Iwe shida ya mavazi, chakula na maradhi
Sometimes niko radhi niji-risk
‘Nachofurahi hata nikikosa unaniombea kwa Mungu
Wapo wal’owahi nitosa kisa sina fungu
Nakumbuka longtime ilivyokua hard time (hard time)
Kabla hujanitoa kwa ukungu
U’shaambiwa maneno shazi
U’shaambiwa mi’ sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji
U’shaambiwa maneno shazi
U’shaambiwa mi’ sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji
Ah, hili penzi la ukweli, baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka, wuuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Moyo unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, la-la
Cheki ulivyopinda, ukivaa unapendeza
Timu i’shakuamini chagua namba utayocheza
Macho ya kichokozi yani kama unakonyeza
Spending money for your love kwako nawekeza
Zuzu, zuzu, ushanizuzua
Nishakuvisha vyeo na hakuna hatakae kuvua
Na kitu usichojua hata wakisema unajiuza
Waambie mi’ nd’o ninaekununua
U’shaambiwa maneno shazi
U’shaambiwa mi’ sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji
U’shaambiwa maneno shazi
U’shaambiwa mi’ sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi
Tapeli wa mapenzi na bado ukanihitaji
Ah, hili penzi la ukweli, baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka, wuuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Moyo unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, la-la
Mm-hmm, mm-hmm
Mm-hmm, mm-mm-mm
Mm-hmm, mm-hmm
Mm-hmm, mm-mm-mm (Kamix lizer)