Download Karibu Home Mp3 by Bamboo Ft. Martha Mwaipaja
A soul-lifting song from the African Christian/Gospel worshipper, minister, and song writerย โBambooโ, as He calls this song โKaribu Homeโ featuring Martha Mwaipaja. This song is sure to bless your heart and uplift your spirit.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and be blessed
Lyrics: Karibu Home by Bamboo
Yeah yeah, Yesu asifiwe sana
Nilipookoka nilikuwa na vitu mingi (Sielewi)
Sikujua ka hufai kukuwa bar (Mi sipewi)
Sikujua ka kuna mtu ka shetani (Sikudhani)
Kuna watu fulani illuminati yaani
Sikujua kuna kitu kama pepo na malaika
Walifukuzwa toka mbingu wako huku wanatafuta
Yule ana mafuta, yule amechafuka
Toto hadi kwa guka
Mimi nishawahi anguka alafu nika amka
Sikujua pepo Jezebel anataka watu wazingue
Wasijue kweli
Sikujua uokovu ni kuokolewa heri
Hawaonyeshi telly kuna manabii matapeli
Kazi jaza belly watu hawasemi
Wanasema panda mbegu mavuno mtavuna
Sasa basi mbona usihubiri injili njema
Unateseka na dhambi tu (Karibu home)
Bado hujachelewa (Karibu home)
Unapendwa (Nyumbani nyumbani)
Karibu nakwambia (Karibu home) karibu
Hakuna aliyekuja kwake akabaki vile
Karibu unapendwa sana, karibu
Wengine wanakudanganya
Ni mwingi wa huruma Mungu
Hajawai muacha wake anainua sana
Nakwambia kweli usikatee tamaa rudi
Unapendwa haa, karibu
Ameinua wengi sana
Hawezi kukuacha, rudi karibu (Karibu home)
Rudi nyumbani ndugu (Karibu home)
Unapendwa na Mungu anakujua (Nyumbani nyumbani)
Nyumbaniiii kuna raha (Karibu home)
Najua watu wako na maswali mingi kama mimi
Hawaelewi kukuwa mkristo ni kukuwa nini
Kwanini hamkunywi kwanini hamlewi
Kwanini hamdanganyi kwanini hampewi
Kwanini mnaomba sana hivyo kanisani?
Pole kama ni maswali mingi samahani
Kumbe hapa kuna vita na tunapigania
Kumbe God anakuita na amevumilia
Kumbe dhambi zinaua na kuzimu iko
Na shetani anakorogaga watu kama mwiko
Eeh kumbe Yesu yupo na anakupenda
Na ukimuita hawezi kulenga
Kumbe ni shetani mishale zininilenga
Kumbe haya magonjwa Yesu anaponya
Unateseka na dhambi sana (Karibu home)
Unangojewa na Mungu (Karibu home)
Unapendwa na Yeye sana (Nyumbani nyumbani)
Nyumbani kwenu kuna raha tele karibu (Karibu home)
Karibu uuuh uuh uuh (Karibu home)