Gospel Global Bahati Bukuku – Nyakati Za Mwisho

Bahati Bukuku – Nyakati Za Mwisho

Download Nyakati Za Mwisho Mp3 Audio by

Here's an amazing song and music lyrics from the talented musician and renowned global vocalist ““. It's a song titled “Nyakati Za Mwisho“. This classic song, accompanied by a stunning music video and lyrics, is sure to captivate and enchant listeners of all ages. Don't miss out on this beautiful musical experience!

Artist:
Song Title:Nyakati Za Mwisho
Released:2012
Song Duration:08:11

Get Mp3 Audio for free, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you're spreading the goodness and joy that this song brings. Let its melodious tunes and heartfelt lyrics be a source of inspiration and comfort to those who need it. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More Bahati Bukuku Songs Here

Lyrics: Nyakati Za Mwisho by Bahati Bukuku

Ni nyakati za mwisho wee
Jamani njooni tumuombe Mungu
Yeye atusaidie maana ni siku za mwisho
Ni nyakati za mwisho
Tanzania tumuombe Mungu
Maana gonjwa la ukimwi linaitikisa dunia
Taifa tumuombe Mungu eeh
Yeye atusadie
Maana vitendo vya ugaidi vinaitikisa dunia

Hebu fikiria ajali ya Dodoma ilivyomaliza watu, hilo naomba ujue
Hebu fikiria gonjwa la ukimwi linavyomaliza watu hilo naomba uzuru
Hebu fikiria tena naomba kumbuka vitendo vya ugaidi vilivyomaliza

Hivi wewe na mimi
Tunapoyaona hayo tunajifunza nini kutoka kwa hao wenzetu
Au tunasubiri sala za marehemu wawaite wachungaji waje kutuombea
Je maisha yako wewe, nani atayadhamini usipomruhusu huyu Yesu yeye kufanyta marekebisho
Elimu yako kaka, nani ataidhamini usipomruhusu huyu Yesu yeye kufanya marekebisho
Ujana wako wewe, nani ataudhamini usipomruhusu huyu Yesu yeye kufanya marekebisho

Kinachonitia uchungu ninapowaona wapendwa wanangangania dini wanamkataa huyu Yesu
Kinachonitia uchungu ninapowaona wapendwa wanangangania vyeo wanamkataa huyu Yesu
Ukifa leo wewe nani atakudhamini usipomruhusu huyu Yesu kufanya marekebisho
Vyeo vyako baba nani atavidhamini usipomruhusu huyu Yesu yeye kufanya marekebisho
Uongozi wako Baba nani ataudhamini usipomruhusu huyu Yesu kufanya marekebisho
Maisha yako wewe nani atakayedhamini usipomruhuus huyu Yesu kufanya marekebisho

Au unafurahishwa na yale majina ya wafu wakuite maiti wakuite marehemu
Wakuite hayati wakuite msiba au inapendeza yeye aje akusaidie
Lakini maisha yako leo nani atakudhamini usipomruhusu huyu Yesu yeye afanye marekebisho
Ukifa wewe leo nani atakudhamini usipomruhusu huyu Yesu yeye kufanya marekebisho

Maisha yangu mimi, nani angenidhamini asingekua ni huyu Yesu yeye kufanya marekebisho
Maisha yangu yote, nani angenidhamini asingekua ni huyu Yesu yeye kufanya marekebisho
Mimi nakushukuru Mungu, kwa upendo wako huo kuniokoa maisha yangu ningekua wapi mimi
Mimi nakushukuru Mungu, kwa upendo wako huo kugharamia maisha yangu ningekua wapi mimi
Maisha yangu mimi nani angenidhamini, asingekua ni huyu Yesu yeye kufanya marekebisho
Usomi wako wewe, nani ataudhamini, usipomruhusu huyu Yesu yeye kufanya marekebisho
Usomi wako kaka, nani ataudhamini, usipomruhusu huyu Yesu yeye kufanya marekebisho
Mpokee Yesu leo, yeye katika maisha yako, awe bwana na mwokozi ili afanye marekebisho
Mpokee Yesu leo, yeye katika maisha yako, awe bwana na mwokozi yeye afanye marekebisho
Mpokee Yesu leo..

Comment below with your feedback and thoughts on this post.