Gospel Global Bahati Bukuku – Abneli

Bahati Bukuku – Abneli

Download Abneli Mp3 by

Here’s a song by the African prolific music artist and talented singer ““. This song is titled “Abneli”, as it was released alongside its video. You’ll also be blessed.

Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE BAHATI BUKUKU SONGS HERE

Lyrics: Abneli by

Mbona huyu amefia hapa
Kwa nini?
Mbona huyu amenyongwa
Nashanga
Nyumba za wageni zimejaa wizi
Kwa nini?
Taarifa za habari hakuna mapya
Nashanga
Huruma huruma
Ikowapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Huruma huruma
Iko wapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
Ukatumia nyundo ukidhani utamsaidia
Usijaribu kuua nzi aliye kichwani kwa mtu
Ukatumia nyundo ukidhani unamsaidia
Jeraha utaloacha ni kubwa
Ni bora uwaache wenye busara
Watumie akili wamsaidie
Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
Neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
Abneli Abneli
Umekufaje abneli?
Abneli Abneli
Daudi alilia
Abneli Abneli
Umekufaje Abneli?
Abneli abneli
Daudi aliliaa
Tumepoteza ndugu zetu
Bila sababu
Tumepoteza marafiki
Bila sababu
Tumepoteza ndugu zetu
Bila sababu
Tumepoteza marafiki
Wasio na hatia
Kwa sababu ya kufurahisha
Wanadamu
Kwa sababu ya kufurahisha
Wanaotuzunguka
Huruma huruma
Iko wapi huruma?
Huruma huruma
Haipo tena
Huruma huruma
Iko wapi huruma?
Huruma huruma
Haipo tena
Maana neno msamaha kwa mpumbavu litamuua tu
Ila neno msamaha kwa mwerevu litamuinua
Maana moyo wa mwanadamu sasa umekunja ngumi
Roho ya huruma haipo tena
Roho ya kisasi inatenda kazi
Roho ya huruma haipo tena
Roho ya kisasi inatenda kazi
Huruma huruma
Iko wapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Huruma huruma
Iko wapi dunia?
Huruma huruma
Haipo tena
Abneli Abneli
Umekufaje Abneli?
Abneli Abneli
Daudi alilia
Abneli Abneli
Umekufaje Abneli?
Abneli Abneli
Daudi alilia
Baada ya sahuli ilikufwa
Abneli alirudi kwa Daudi
Alipotengeneza na Daudi
Akasahau Yoabu anakumbuka
Kifo alichomuua nduguye
Asaheli wakati wa vita
Yoabu aka muua abneli
Abneli hakutambua hilo
Yeye alipotengeneza na Daudi
Akajua maadui wamekwisha
Msamaha msamaha
Uko wapi dunia?
Msamaha msamaha
Mungu atusaidie
Msamaha msamaha
Ukowapi dunia?
Msamaha msamaha
Mungu atuhurumie
Nyakati hizi tulizo nazo
Alama za nyakati zinaonesha
Wanadamu wamechoka suluhu
Wanaona maamuzi kuwa ni kifo
Wajue adui ulio nao
Jihadhari nahao marafiki
Sio kila kicheko kina maanisha furaha
Wengine wakichukia hucheka sana
Sio kila kicheko kina maanisha upendo
Wengine wanataka wakusogeze tu
Wengine wanataka wakuweke karibu
Ili iwe sababu ya kutoa roho yako
Abneli Abneli
Umekufaje abneli?
Abneli abneli
Daudi alilia
Abneli Abneli
Umekufaje abneli
Abneli Abneli
Daudi alilia

Comment below with your feedback and thoughts on this post.