Top Christian Songs Angel Benard – Nikumbushe Wema Wako 

Angel Benard – Nikumbushe Wema Wako 

Angel Benard Nikumbushe Wema Wako

Download Nikumbushe Wema Wako Mp3 by Angel Benald

The renowned African (Tanzanian) Christian music minister, praiser, and worship leader whose songs have blessed lives “Angel Benard” birth out a song of praise worship which she titles “Nikumbushe Wema Wako“.

Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.

DOWNLOAD HERE

Download More ANGEL BENARD Songs Here

Lyrics: Nikumbushe Wema Wako by

Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele
Pale mambo yanapoonekana hayaendiii
Ni ajabu sana namna moyo unahangaika (kutafuta majibu)

Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba japokuwa Mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu, japokua Mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu,
Ahh nakumbuka wana wa Israel katika bahari yashamu japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi,
Kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwanaa. Lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa yalibadilika mambo,
Manung'unikoo yalisimama na kusahau muujiza alotenda Bwana Mwanzo aah.
Eee MUNGU Niisaidieee eee eenhee

BRIDGE
Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machoziii, x2

Eeeh Ee MUNGU Nisaidiee
Nisaidieee kukumbuka baba yakwamba umenichora kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani eenh na mimi umenionaa oooh ooo
Nikumbushe baba yakwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleniii. ouoooh ooh

Yakwamba kama ungeniacha hatua moja nisingelifika nilipo ooh eee Babaa umenikung'uta mavumbi, kung'uta mavumbi mimi na kuniheshimisha.
Oooooh oooooh

Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu(Nisaidie Yesu)
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii ×2

Comment below with your feedback and thoughts on this post.