Gospel Global Ambwene Mwasongwe – Tumekubalika na Mungu

Ambwene Mwasongwe – Tumekubalika na Mungu

Download Tumekubalika na Mungu Mp3 by

The African Christian music minister drops a powerful song alongside its visuals, as this song is titled “Tumekubalika na Mungu“. You'll see praising God on this song with joy.

Get AUdio Mp3, Stream, Share & stay graced

DOWNLOAD HERE

DOWNLOAD MORE AMBWENE MWASONGWE SONGS HERE

Lyrics: Tumekubalika na Mungu by

Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
Tumekubalika na Mungu tuna nguvu za ki-falme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu uzao wa agano
Tu uzao mteule aaah aah aah
Ukuhani wa ki-falme eeh aah aah
Taifa takatifu aah aah ooh ooh
Watu wa milki ya Mungu aah aah oh oh
Nimemwona Mungu amewaleta kutoka
Misri wana nguvu kama za nyati
Watawavunja adui mifupa
Vipande vipande watawachoma adui kwa mishale
Yeye kawabariki nani aawalaani,
Mungu kawabariki nani wakuwapinga
Wana nguvu aaah Mungu kawapa aaah
Wanaweza aaah Bwana kawapa aah, ooh
Wanautishoo aaah Bwana kawapa aah ooh ooh
Hatuwezi tishwa kwa maneno yao nguvu zetu zipo
Kwa Bwana aaah tulipona kwa Farao
Tukiwa ugenini hatukufa kwa njaa tukiwa hatuna kitu,
Tulinusurika vita tukiwa hatuna silaha, tulipona magonjwa
Tukiwa hatuna dawa tulipona ma-wifi ndoa zikiwa tetee
Tuliweza maisha tukiwa hatuna hela, tulishinda upweke
Tukiwa tumeachwa tuliponywa kesi bila ya mtetezi
Mungu alikuwepo hatukuwa pekee yetu waliotuonea hilo
hawakuja katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande,
katutoa Misri tuna nguvu kama za nyati kuvunja vipande yayaah yaah
Tumekubalika
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za ki-falme ametuchora
Kweli moyoni mwake tu uzao wa agano 2
Usiye lala aah aah
Usiye lala aah aah
Usiye lala aah aah aaah
Usiye lala aah
Usiwachokoze walio na Mungu wamebarikiwa na Mungu
Wakitupwa jangwani wateseke wafe huligeuza bustanii
Tulikula mtama kwa maji tukanawiri kuliko wao
Hatukupambwa kama wao tukapendeza zaidi yao,
Walitubadilisha majina hawakubadili
Hatima walipotutupa shimoni tukaibukia ikulu,
Kule walipotusukumia
Ndiko Mungu hupumzikia,
Walidhani wanatukimbiza kumbe
Wanatusindikiza
Bwana wangu, Yesu
Yesu Yesu
Shindii, Yesu
Mwamba, Yesu
Wewe, Yesu
Aah haaa aah
Jiwe langu Yesu
Ngome Yesu
Mwamba aaah
Bwana Yesu
Ooh uuh
Jiwe langu Yesu
Mwaminifu Yesu
Haki Yesu
Ngome Yesu
Nguzo Yesu
Aah aah
Jina lako Yesu
Yesu Yesu
Haki Yesu
Mwaminifu Yesu
Wewe Yesu
Aah aah
Tumekubalika na Mungu
Tuna nguvu za kifalme
Ametuchora kweli moyoni mwake tu zao wa agano

1 COMMENT

Comment below with your feedback and thoughts on this post.