Download Nangoja Mp3 by Christina Shusho
The renowned and Celebrated Tanzanian gospel singer Christina Shusho whose songs has always motivated and blessed lives comes through with another powerful song titled โNangojaโ
Get Audio Mp3, stream, share, and be blessed.
Download More CHRISTINA SHOSHU Songs Here
You May Like These Too ๐ฅ
Lyrics: Nangoja by Christina Shusho
Ohh!! Damu ya Yesu
Imenifanya ning’are
Still alive!
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are Yesu
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are
Wee umenifanya ning’are Yesu
Wewe waitwa nuru
Eti nuru ya watu
Ukiingia kwangu mi nang’ara
Ndani ya hiyo nuru
Eti kuna uzima
Ukiingia kwangu nina uzima
Uso wake Yesu aliye sura yake Mungu
Umeingia kwangu mi nang’ara
Nuru ya injili utukufu wake Kristo
Umeingia kwangu mi nang’ara
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are Yesu
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are
Wee umenifanya ning’are Yesu
Iinuka uangaze weh!
Nuru yako imekuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
Mataifa watakujia
Wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
Iinuka uangaze weh!
Nuru yako imekuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
Mataifa watakujia
Wafalme watakuja
Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are Yesu
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are
Wee umenifanya ning’are Yesu
Halleluyah!
Kumtumikia Mungu kuna faida!
๐ต Are you a gospel artist? Get your song featured on CeeNaijaReach millions of gospel music lovers
PromoteUmenifanya ning’are
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are Yesu
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are Yesu
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are Yesu
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are
Umenifanya ning’are Yesu
YESU
๐ All songs and media on this page are shared for gospel promotion purposes only. All rights belong to the respective artists and labels. If you are the rights holder and wish content removed, please read our DMCA & Copyright Policy or submit a takedown request here.
