Download Mbegu Mp3 by Vocals Of Praise
Introducing a soul-lifting song from the Kenyan gospel music worship group, “Vocals Of Praise“. Titled “Mbegu“, this track was released in 2026. The song combines heartfelt expression with a captivating sound, delivering a message that resonates deeply. Itโs one of those songs that not only sounds good but also carries a sense of purpose and inspiration with every listen.
Enjoy the MP3 audio by streaming or downloading, and donโt forget to share this amazing song with your loved ones. Let its message and sound reach more people. #CeeNaija
Download More Vocals Of Praise Songs Here
You May Like These Too ๐ฅ
Lyrics: Mbegu by Vocals Of Praise
Verse 1
Tafakari mbegu ikipandwa ardhini
Kwa muda inabaki kwenye giza tu
Na hata kabla ya kunawiri
Inakita mizizi ndani ya udongo kwenye giza tu
Jiweke katika hali ya mbegu hiyo
Na mpanzi wako ni Mungu Mwenyezi
Chorus
Kwa hakika utaota, mbegu ya Mungu haifi
Yeye hupanda kwenye ardhi ile nzuri
Utaota, utanawiri, utakuwa mti wenye matunda
Hapo ulipopandwa hakika utanawiri
Wewe ni mbegu yake, mbegu ya Mungu haifi
๐ต Are you a gospel artist? Get your song featured on CeeNaijaReach millions of gospel music lovers
PromoteVerse 2
Na ukichipuka unaanza kuliona jua
Upepo mkali, jua la utosi pia
Wakati mwingine ukame hutokea
Ukikita mizizi kwake Bwana unasimama imara
Hatimaye matunda matamu
๐ All songs and media on this page are shared for gospel promotion purposes only. All rights belong to the respective artists and labels. If you are the rights holder and wish content removed, please read our DMCA & Copyright Policy or submit a takedown request here.
