Download Bado Napambana Mp3 by Sifaeli Mwabuka
Here’s an amazing song and music lyrics from the talented musician and renowned global vocalist, “Sifaeli Mwabuka“. It’s a song titled “Bado Napambana“, and was released in 2026. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this wonderful song with your friends and family. By sharing it with others, youโre spreading the joy and message behind the music. #CeeNaija
Download More Sifaeli Mwabuka Songs Here
You May Like These Too ๐ฅ
Lyrics: Bado Napambana by Sifaeli Mwabuka
๐ต Are you a gospel artist? Get your song featured on CeeNaijaReach millions of gospel music lovers
Promoteyangu nitie nguvu
Mimi mwanao Mungu Wangu NITIE nguvu,eee babaร2
Katika safari zangu baba naomba usiniache
Mapito na changamoto zangu baba nitie nguvuร2
Ninaomba Neema yako baba itembee Na mimiร2
Bado napambana Mungu Wangu nitie nguvu
Umesema asiyefanya kazi baba asileร2
Kwenye Ile kazi yangu baba bado napambana
Na Ile biashara yangu baba bado napambanaร2
Baado napambana baabaaa!!!!!!
Baado bado napambana,baado bado napambana!
Mungu Wangu nisaidie mwanao bado napambanaร2
Tumshukuru Mungu Kwa huruma zake
Tuseme asante baba asiye Na upendeleoร2
Anajua hatujapata Leo tuamini Kesho atatupa
Wengine wao wamefanikiwa lakini Sisi badoร2
Sisi baado tuzidi kupambana,Sisi baado tuzidi kupambanaร2
Anajua wakati wetu unakuja Basi tutainuliwa
Anajua wakati wetu unakuja tutabarikiwaร2
Baado napambana!!!!!??
Baado bado napambana, baado bado napambana
Mungu Wangu nisaidie mwanao bado napambana ร2
๐ All songs and media on this page are shared for gospel promotion purposes only. All rights belong to the respective artists and labels. If you are the rights holder and wish content removed, please read our DMCA & Copyright Policy or submit a takedown request here.
