Download Neno Moja Mp3 by Pitson Ft. Bire
The renowned gospel singer Pitson, comes through with a song called “Neno Moja” featuring Bire, and was released in 2025. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Neno Moja” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Neno Moja” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More PITSON Songs Here
Lyrics: Neno Moja by Pitson
Hali mbaya tunayo pitia
Mmh imani yetu inafifia
Eh Najua baba unasikia
Maombi yetu,maombi yetu
Safari yetu yatulemea
Mmh twashindwa hata kuendelea
Eh niwewe baba twategemea
Twakuangalia utuponye eeh
Nena neno moja
Tupone eeh
Neno moja tupone eh
Nena neno moja
Tupone eeh
Neno moja tupone eh
Mmh neno lako ndilo twategemea
Mmh neno lako ndilo twangojea
Eh neno lako litumulikie
Njia yetu ewe Mungu
Uh ukinena yote tutapokea
Ah tutapata vyote tulivyopoteza
Eh hakuna jambo linakulemea
Twakuangalia utuponye
Nena neno moja
Tupone eeh
Neno moja tupone eh
Nena neno moja
Tupone eeh
Neno moja tupone eh
(Baba umeahidi tukinyenyekea na kuomba na kutafuta uso wako na kuacha njia zetu mbaya basi utatusamehe na utatuponya
Tunatubu baba )
Twatubu baba twanyenyekea
Twakuangalia utuponye
Twatubu baba twanyenyekea
Twakuangalia utuponye
Twatubu baba twanyenyekea
Twakuangalia utuponye
Twatubu baba twanyenyekea
Twakuangalia utuponye
(ukinena nitapona)
Nena neno moja
Tupone eeh
Neno moja tupone eh
(ukinena nitapona)
Nena neno moja
Tupone eeh
Neno moja tupone eh
(ukinena nitapona)
Nena neno moja
Tupone eeh
Neno moja tupone eh
(ukinena nitapona)
Nena neno moja
Tupone eeh
Neno moja tupone eh
ukinena nitaponaaah