Download Lolo Mp3 by Momox Ft. Masauti
The Kenyan bongo flavor recording artist, songwriter and singer Momox presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Lolo“, in collaboration with the esteemed music artist “Masauti“. This track, released in 2025 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Lolo” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More MOMOX Songs Here
Adding to the uniqueness of this song is the collaboration with the acclaimed and award-winning music artist Masauti. Their combined talents has truly brought “Lolo” to life, creating a musical masterpiece.
Lyrics: Lolo by Momox
Masautii
Kenyan boy
001
Brbabambido
Right
Momox again
Spidi yako gari moshi unavyoendesha ,oh mama
Oh mama zima kiyoyozi unanchokesha
Ukinituma kikombe
Mi naleta sahani
Ukinituma kijiiko
Mi naenda chumbaani
Au labdaa kuna kitu sijawai fanya (nambie ,nijue)
Au labdaa kuna kitu unataka fanya ( nambie, nijue)
Baby unapenda (lolo , lolo)
Au unataka (pipi , pipi )
Au unapenda (gugu gaga)
Nambie
Baby unapenda (lolo , lolo)
Au unataka (pipi , pipi )
Au unapenda (gugu gaga)
Nambie
Thats why i call you
Chimami
Chimami
Chimami
Thats why i call you
Chimami
Chimami
Chimami
Thats why i call you
Chimami
Chimami
Chimami
Thats why i call you
Chimami
Chimami
Chimami
Mimi unavyonipenda
Hadi raa mama
Kwa hili penzi unalonipa
kwengine siwezi pata
Wakisema we ni pretender
Waambie sawa
Mana hawajui (hao)
Hao maadui (hao)
Usijali ntakulinda kama almasi
Mana unayo thamani
Na unapokua nami usiwe na wasi
We niamini
We usijali ntakulinda kama almasi
Mana unayo thamani
Na unapokua nami baby usiwe na wasi
We niamini
Siwezi sema ni bahati tu
Mimi kukupata wewe my boo
Imeandikwa na Mungu alie juu
My boo thats why i love you
Ukisinzia lala kifuani mwangu
Milele we uwe wangu
Tudekezane mi nawe my boo
Kwa penzi la kistarabu
Baby unapenda (lolo , lolo)
Au unataka (pipi , pipi )
Au unapenda (gugu gaga)
Nambie
Baby unapenda (lolo , lolo)
Au unataka (pipi , pipi )
Au unapenda (gugu gaga)
Nambie
Thats why i call you
Chimami
Chimami
Chimami
Thats why i call you
Chimami
Chimami
Chimami
Thats why i call you
Chimami
Chimami
Chimami
Thats why i call you
Chimami
Chimami
Chimami