Home Universal Gospel

Ali Mukhwana – Ni Lipi Likushindalo

Download Ni Lipi Likushindalo Mp3 by Ali Mukhwana

Here’s an amazing song and music lyrics from the award winning Kenyan gospel singer, songwriter, “Ali Mukhwana“. It’s a song titled “Ni Lipi Likushindalo“, and was released in 2026. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.

Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More ALI MUKHWANA Songs Here

Listen on your favorite platform

Lyrics: Ni Lipi Likushindalo by Ali Mukhwana

Wewe ni Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe?
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Wewe ni Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe?
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe?
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe?
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo ooh
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe?
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo ooh
Wewe ni Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe…

Wewe ni Mungu wa Majeshi, usikie maombi yangu Bwana
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo?
Mbingu zayasifu maajabu yako, ni nani akupinge?
Mawimbi yakutii kwa ngurumo zako, ni nani akupinge?

Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe?
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe?
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe?
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe?
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Aaaiiii… Mungu wa vizazi na vizazi, Baba…

Wewe ni nuru ya ulimwengu, kwa mkono wako tunaushindi
Jina lako ni nguvu yetu, na tena ni ngao yetu
Mbingu zayasifu maajabu yako, ni nani akupinge?
Mawimbi yakutii kwa ngurumo zako, ni nani akupinge?

Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe, kwa moyo wangu nimekutafuta
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Wewe ni Mungu, Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe
Tena Mkombozi wa ulimwengu, Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Tumekuja kusema, Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe
Uzima wangu, amani yangu, Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo

Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe
Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo
Mungu wa Majeshi, uzima watoka kwako, ni lipi likushindalo wewe
Mungu wa Majeshi, amani yatoka kwako, ni lipi likushindalo

Ni lipi likushindalo wewe…
Ni lipi likushindalo wewe…
Ni lipi likushindalo…
Ni lipi likushindalo…

Comment below with your feedback and thoughts on this post.