Download Nimejificha Mp3 by Bonde la Baraka Choir Ft. BBC ARMS Kenya
Here’s an amazing song and music lyrics from the talented gospel music worship group, “Bonde la Baraka Choir“. It’s a song titled “Nimejificha” featuring BBC ARMS Kenya, and was released in 2026. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.
Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija
Download More BONDA LA BARAKA CHOIR Songs Here
You May Like These Too 🔥
Lyrics: Nimejificha by Bonde la Baraka Choir
Mungu wa majeshi
Ni jabali langu
Na boma langu
Mwokozi wangu
Mwamba wangu
Ninaye kukimbilia
Ni ngao yangu
Na pembe ya wokovu
Umekuwa ngome yangu
Mlinzi wa maisha yangu
Nimejificha kwako
Wewe Bwana
Nguvu zangu
Ninakupenda sana Mungu wangu
Maadui walijipanga
Na kunipangia mabaya
Lakini wewe Mungu wangu
Ukaniokoa na mitego ya adui (ya adui)
Ulizikatakata
Kamba za uovu Bwana
Mafuriko ya uovu, uharibifu
Uliyaondoa (uliyaondoa)
Tumaini langu
Tegemeo langu
Liko kwako Bwana
Msaada wangu nyakati zote
Wewe Bwana
Kimbilio langu
la kujificha
Wewe Elohim
Msaada wangu
Nakutegemea
Nimejificha
Nimejificha
Chini ya uvuli wa mbawa zako
Na hapo ndipo penye raha
Nimejificha
Nimejificha
Uweponi mwako Bwana
Na hapo ndipo penye raha





