Download Tamu Mp3 by Zaituni
The Kenyan singer-songwriter Zaituni presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Tamu“. This track, released in 2025 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Tamu” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More ZAITUNI Songs Here
You May Like These Too 🔥
Lyrics: Tamu by Zaituni
nimependwa nkapendeka wanasema
nimerogwa sina noma
ananifaa mimi ananifaa mimi
ananipea mahaba kwa wingi
hanipimii ananipea yote
kashaamua kunipenda msimu yote
ye..ah naamini ashaapata ubavu wake
na ni mimi hapa hapa nikoo
tamu tamu tamu sana mapenzi ×4
tamu tamu saana
ninamjua ananijua ananielewa zaidi ananijua
na nikinuna anantuliza
ananibembeleza roho inatulia
ananiamini ninamwamini hatuna siri
twaendana shilingi kwa ya pili
na sio siri sioo.. siri
kupendwa raha kwanza na wewe
kupendwa ta ta ta tamu
tamu sana mapenzi
chorus…
tamu…
tamu sana ni tamu tena sana
ina-donjo inadongonjo tu vibaya
amini usiamini niliapa sitawahi
penda mwengine
nikiwa na yeye haunipati
na nikiwa na yeye haumpati
na nikiwa na yeye is a party
nikiwa na yeye hakutaki
na nikiwa na yeye sikutaki
chorus…
tamu…





