Download Leo Mp3 by Ben Cyco
The Kenyan gospel music singer Ben Cyco presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Leo“. This track, released in 2025 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Leo” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More BEN CYCO Songs Here
You May Also Like: 👇🏽
Lyrics: Leo by Ben Cyco
Mambo ya bibilia ni noma, tukisoma tunashtuka, historia inajirudia,
(Leo Leo Leo)
Mambo ya bibilia ni noma, tukisoma tunashtuka, historia inajirudia,
(Leo Leo Leo)
Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo,
(Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo)
Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo,
(Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo)
Iliyomfufua Yesu anaishi Leo, iko hapa Leo
(Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo)
Iliyowatoa wanaisraeli misiri, iko hapa Leo
(Nguvu ya msalaba, iko hapa Leo)
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Mambo ya bibilia ni noma, tukisoma tunashtuka, historia inajirudia,
(Leo Leo Leo)
Mambo ya bibilia ni noma, tukisoma tunashtuka, historia inajirudia,
(Leo Leo Leo)
Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo,
(Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo)
Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo,
(Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo)
Anayetupugania vita vyetu vyote, yuko hapa Leo
(Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo)
Anayetupugania vita vyetu vyote, yuko hapa Leo
(Mungu Yule hashindwi, yuko hapa Leo)
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )
Leo Leo Leo
(Leo, Leo, Leo iko hapa Leo )