Universal Gospel The Saints Ministers – Huu Ni Wakati Wangu

The Saints Ministers – Huu Ni Wakati Wangu

Download Huu Ni Wakati Wangu Mp3 by The Saints Ministers

Here’s an amazing song and music lyrics from a group of young talented musicians based in Nairobi, Kenya, “The Saints Ministers“. It’s a song titled “Huu Ni Wakati Wangu“, and was released in 2025. This beautiful song, accompanied by a stunning music video, audio, and lyrics, is sure to captivate listeners of all ages. Don’t miss out on this beautiful musical experience.

Get MP3 audio, Download, Stream, and Share this powerful song with your friends and family, and let the blessings overflow! By sharing it with your loved ones, you’re spreading the goodness and joy that this song brings. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More THE SAINTS MINISTERS Songs Here

Lyrics: Huu Ni Wakati Wangu by The Saints Ministers

Sasa ni zamu yangu huu ni wakati wangu, ule mwaka wa baraka ulioniahidia, pokea Sala zangu uzijibu baba ikiwa ziko ndani ya mapenzi yako, pokea sifa zangu na shukrani baba kwa kuwa hujawahi kuniangusha.

Stanza 1
Nilipokubali kukufuata nikatengwa mbali na watu (ukasema wewe ni Mungu kwako Niko salama) watesi wangu walipojipanga kunimaliza, Pamoja na changamoto nitasimama na wewe Yesu (umesema wewe ni Mungu kwako niko salama) .. (Najua sitaanguka nitasimama milele hata tufani zikivuma) nitadumu kuwa nawe.

Stanza 2

Kunawakati Imani yangu inapitishwa motoni, saa nyingine kuanguka, nimejifunza kusimama tena, nimejifunza kuvumilia nikikumbuka ahadi yako hofu inapungua.

Kuna wakati ninayumbishwa kibinadamu, machozi kutiririka kwa maumivu kunawakati nilisahau kusimama juu ya mwamba ninakuomba baba yangu nipe moyo mkuu

Comment below with your feedback and thoughts on this post.