Music Video & Lyrics Marioo – Mvua

Marioo – Mvua

Download Mvua Mp3 by Marioo

The Tanzanian singer, songwriter, and music producer Marioo, comes through with a song called “Mvua“, and was released in 2025. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Mvua” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Mvua” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.

Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More MARIOO Songs Here

Lyrics: Mvua by Marioo

[Verse 1]
Mungu ndio mtaalamu
Mtaalam wa kumatchisha
Ndo maana akaamua kunipa wewe eeh
Ona tulivyomatchisha
[Verse 2]
Ah Mungu, fundi
Mungu kalifinyanga
We mzuri hauna mapepepepe
Na mi magenta sinanga
[Verse 3]
Moja, mbili
Na tatu, namba zote za kwako
Oh, mi kama maji mtungini
Sina makandokando
[PreChorus]
Ah baby mimi na wewe
Ni mtu na mtu wake
Eh, sifurukuti, siruki
Ndege ina mti wake
[PreChorus]
Mimi na wewe
Mtu na tamu yake
Nishapatikana, sijapatikana
Na kama inanyesha inyeshe
[Chorus]
Ooh mvua
Mvua nyesha mvua
Huku nataka nikumbatiwe mimi
Mvua nyesha mvua
Ooh mvua
Mvua nyesha mvua eeh
Unataka nipetiwe mimi
Mvua nyesha mvua, mvua
[Bridge]
Mmh, mmh
Mmh, mmh
Mmh, mmh
[Verse 4]
I wish ningekuwa na uwezo
Nimjengee mamake, nyumba kali Mombasa
Mama mzazi maa
Anaweza akaweza tena
[Verse 5]
Ningekuwa na uwezo ningemletea babake
Nataka Verosa
Baba mzazi maa
Waweza
[Verse 6]
Maana ingekuwa mapenzi
Safari, safari
Muda huu niko Kigoma mwishowe
Ah
[PreChorus]
Oh baby mimi na wewe
Ni mtu na mtu wake
Eh, sifurukuti, siruki
Ndege ina mtu wake
[PreChorus]
Mimi na wewe
Mtu na tamu yake
Nishajipata, sijapatikana
Na kama inanyesha inyeshe
[Chorus]
Ooh mvua
Mvua nyesha mvua
Huku nataka nikumbatiwe mimi
Mvua nyesha mvua
Ooh mvua
Mvua nyesha mvua eeh
Unataka nipetiwe mimi
Mvua nyesha mvua, mvua
[Outro]
Mmh, mmh
Mmh, mmh

Comment below with your feedback and thoughts on this post.