Music Video & Lyrics Marioo – Tete

Marioo – Tete

Download Tete Mp3 by

The dynamic Tanzanian singer, songwriter, and music producer , comes through with a song called “Tete“, and was released in 2025. This amazing and inspiring track is a must listen for any music lover. With its message and captivating melody, “Tete” is an addition to any playlist. Whether you want to download the mp3 watch the video or sing along with the lyrics, “Tete” is undeniably a song that will deeply touch the hearts of everyone who encounters it.

Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija

DOWNLOAD HERE

Download More MARIOO Songs Here

Lyrics: Tete by

[Intro]
S2Kizzy Baby
Aiyay kutoka Alooh

[Verse 1]
Baby nichumu hadharani, mwaah
Mi nataka waumie
Baby nikiss hadharani, mwaah
Mi nataka waumie
Dooh, salale
Ulikua wapi kipindi nalizwa
Ulikua wapi kipindi naumizwa
Hivi ulikua wapi?
Kipindi nanyanyaswa
Mimi vile nakupenda

[Pre-Chorus]
Akitoka mama, unafuata mpenzi
Ambaye ndo wewe
You’re my happiness
Wakitoka wazazi, anafuata mpenzi
Ambaye ndo wewe, you’re my happiness

[Chorus]
Mimi kwako tetee
Tetete, tetete, tetete
Nidekeze kama mtoto
Tetete, tetete, tetete
Ukitaka nibebe mgongoni
Tetete, tetete, tetete
Nifunze kutembea
Tetete, tetete, tetete
Tetete

[Verse 2]
Ukichanganywa asali Fanta bananana
Na ulivyo mtamu, sweet sweet
Sexy sexy body ya Fantana
Lips ina test ya pipi pipi

[Bridge]
Ooh baby nakupenda, nakukunda
Sogea nikupambe, sogea nikubusu
Ngyankutanda, mon frère, je t’aime
Te amo babe wee

[Pre-Chorus]
Akitoka mama, unafuata mpenzi
Ambaye ndo wewe
You’re my happiness
Wakitoka wazazi, anafuata mpenzi
Ambaye ndo wewe, you’re my happiness

[Chorus]
Mimi kwako tetee
Tetete, tetete, tetete
Nidekeze kama mtoto
Tetete, tetete, tetete
Ukitaka nibebe mgongoni
Tetete, tetete, tetete
Nifunze kutembea
Tetete, tetete, tetete
Tetete

Comment below with your feedback and thoughts on this post.