Download Natangaza Mp3 by Zoulou Tunda Ft. Alleluia Music
The passionate singer/songwriter Zoulou Tunda presents to us a compelling song, as this masterpiece is titled “Natangaza” featuring Alleluia Music. This track, released in 2025 , is a captivating and inspirational addition to any music enthusiast’s collection. The tune “Natangaza” carries a powerful message and a mesmerising melody, making it a must-listen for all. Feel free to stream the mp3, watch the video, and sing along to the heartfelt lyrics.
Get the MP3 audio, download, stream, and share this amazing song with your friends and family. When you share it, you’re spreading the goodness and joy of the song. #CeeNaija
Download More ZOULOU TUNDA Songs Here
Lyrics: Natangaza by Zoulou Tunda
Natangaza, mbele ya watu wote,
Ninaye yesu, moyoni mwangu.
Natangaza, na dunia ijuwe,
Ni naye yesu, moyoni mwangu.
Amenipa amani, amenifanya kiumbe kipya.
Kwake yesu nimefika, sitoki tena.
Yesu, amenifuta machozi
Na jina langu naitwa mwenye heri.
Kutoka gizani, leo nina ngaa,
Nilikuwa dhaifu, sasa nina nguvu.
Kutoka huzuni, leo na furahi.
Nilikuwa na hofu, sasa ni jasiri,
Amenipa amani, amenifanya kiumbe kipya.
Kwake mimi nimefika, sitoki tena. X2
Yesu, amenifuta machozi
Na jina langu naitwa mwenye heri.
Yeye ni rafiki yangu, wa kweli, mshauri wangu,
Yeye mutetezi wangu, piya, ni mwokozi wangu.
Yeye ndiye mwanga wangu, nanga ya tumaini langu.
Kweli yesu nampenda, kamwe sitoki kwake.
Yesu, amenifuta machozi
Na jina langu naitwa mwenye heri.
Natangaza, mbele ya watu wote,
Ninaye yesu, moyoni mwangu.
Natangaza, na dunia ijuwe,
Ni naye yesu, moyoni mwangu.
Amenipa amani, amenifanya kiumbe kipya.
Kwake yesu nimefika, sitoki tena.
Yesu, amenifuta machozi
Na jina langu naitwa mwenye heri.