Download Mwenye Baraka Mp3 by Jemmimah Thiong’o
Here’s a song by the prolific music artiste and talented singer “Jemmimah Thiong’o“. This song is titled “Mwenye Baraka”, as it was released alongside its video. You’ll surely enjoy this one.
Download Audio Mp3, Stream, Share, and stay graced
Lyrics: Mwenye Baraka by Jemmimah Thiong’o
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote
You May Like These Too 🔥
Akisema atakubariki wala usitie shaka
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Mipango yake ya ajabu tena haibadiliki
Akisema atakuinua ndiye mwenye kuinua
Akisema atakupa mtoto katika umri wowote
Aliwapa Sarah na Hannah lipi asiloweza
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki watoto wako waelimike
Wapate na shahada nyingi hakuna atakayezuia
Akisema utapona hakuna atakayezuia
Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema utapona hakuna atakayezuia
Mama aliyetokwa na damu aliponywa na hiyo kanzu yake
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote
Watembelea miguu hata baiskeli huna
Akisema akupe gari upendalo niambie nani azuie
Waishi nyumba ya matope huna hata mavazi
Akianza kukubariki majirani watashangaa
Akisema atakuinua mbele ya adui zako
Atakwandalia meza ule unywe wakitizama
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote
Akisema atakubariki hakuna atakayezuia
Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote

This song is very beautiful and it also says a very deep message, I’m so real, I just like it.